Karibu familia nzima ya Mudaheranwa Celeste kutoka Kigali nchini Rwanda wana maumbile ya kimo kifupi kuliko kawaida (Mbilikimo) kuanzia baba hadi watoto.
Licha ya kuwa mke wake ana kimo cha kawaida, ni mtoto mmoja tu ambaye amefuata kimo chake na wengine watano waliosalia wamefuata hali ya baba ya umbilikimo - Licha ya kuwa baadhi ya watoto wao wamekuwa kwa sasa lakini Celeste na Mke wake wanasema safari si rahisi kwao.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni