Alhamisi, 13 Februari 2025

SIRI YA MAPISHI YA HALF CAKE TAMU SANA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI

 SIRI YA MAPISHI YA HALF CAKE TAMU SANA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI  


https://www.effectiveratecpm.com/jqq845hb9?key=4dba0a3cd6bb6e8e3eddf954cdff7e75

MAHITAJI


1.Unga wa ngano kilo moja (Ukipata wa p.p.f ni vizuri zaidi)


2.Sukari kikombe kimoja


3.Baking powder vijiko viwili vya chai


4.Baking soda nusu kijiko cha chai


5.Iliki ya unga robo kijiko cha chai


6.Maziwa fresh kikombe kimoja (ukihitaji)


7.Siagi vijiko 3 vya chakula au mafuta ya kupikia nusu kikombe


8.Vanilla kijiko kimoja cha chai (ukihitaji)


9.Mayai mawili (ukihitaji)


10.Chumvi kijiko kimoja cha chai


11.Maji ya uvuguvugu kiasi ya kukandia ngano


12.Mafuta ya kupikia ya kukaangia

Njia Bora ya kuzalisha mbuzi mapacha

Kuna mbinu kadhaa zinazoweza kusaidia mbuzi kuzaa mapacha (watoto wawili au zaidi) .  1️⃣ Chagua Mbegu Bora (Uzao wa Mbuzi) Baadhi ya mb...