SIRI YA MAPISHI YA HALF CAKE TAMU SANA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI
https://www.effectiveratecpm.com/jqq845hb9?key=4dba0a3cd6bb6e8e3eddf954cdff7e75
MAHITAJI
1.Unga wa ngano kilo moja (Ukipata wa p.p.f ni vizuri zaidi)
2.Sukari kikombe kimoja
3.Baking powder vijiko viwili vya chai
4.Baking soda nusu kijiko cha chai
5.Iliki ya unga robo kijiko cha chai
6.Maziwa fresh kikombe kimoja (ukihitaji)
7.Siagi vijiko 3 vya chakula au mafuta ya kupikia nusu kikombe
8.Vanilla kijiko kimoja cha chai (ukihitaji)
9.Mayai mawili (ukihitaji)
10.Chumvi kijiko kimoja cha chai
11.Maji ya uvuguvugu kiasi ya kukandia ngano
12.Mafuta ya kupikia ya kukaangia
.jpeg)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni